Entertainment,Political And Lifestyle News Website. We Provide You With The Latest Breaking News, Gossip And Videos Straight From The Industry.

Total Pageviews

PropellerAds

22 Sept 2017

Mungu Halali! Zari Stole Diamond From Me, He Never Even Took Care Of His Kids We Got Together – Burundi Beauty Queen Cries


The Diamond-Zari-Hamisa love triangle in becoming bigger by the second.

A former Miss Burundi and video queen has accused Zari Hassan of stealing Diamond from him and influencing him not to abandon his two children they had together back in 2013.

The Burundian model identified as Honey Jesca wrote an open letter to Zari calling her out for what she did and saying that Karma is a b*tch with a very good memory.

Apparently, back in 2012 Zari and Honey Jesca were best friends when this happened.
Honey Jesca told Zari, “Umejitaidi mpaka umefanikiwa kuhack account yangu ambayo ilikuwa na followers 450K Saaa ulikuwa unaogopa nisikuumbuwe nataka niweke wazi ukweli woote wewe ni mganda na mimi ni mrundi halisi kujuwana mimi na wewe isiwe tabu.”
Here is what she detailed.

1. Mimi toka nilipo zaa na @diamondplatnumz toka mwaka 2013 mpaka leo hajawai hata kutowa shilingi100 ya kumnunuliya hata mtoto sukari ila nina mlea mtoto wangu bila kumtegemea mtu yoyote

2. Mimi nina miaka 24 ila wewe una miaka 46 na ukikataa nitapost photocopy ya passport yako ninayo

3. Wewe uliniporaga #diamond wakati ulikuwa unajuwa ni shemeji yako na mimi nikiwa kama your best friend ila tamaa zikakufanya unigieuke

SHE ADDED. “SAAA LEO NATAKA NIWEKE UKWELI WOOTE KWA MAANA MIMI NINAKUJUWA KULIKO BABA YAKO MZAZI
NAOMBA WATU WOOTE MJUWE KUWA @ZARITHEBOSSLADY HANA KITU CHOCHOTE KILA NI MWANAMKE ALIYEJAA TAMAA SAANA AKIENDAGA UGANDA ANAENDA SEHEM MOJA INAITWA KABARAGARA ANAKODISHA MAGARI YA KIFAHARI ALAFU WANA TENGENEZA BATI LIPO KAMA PLETI NUMBER LINAANDIKWA JINA LAKE ALAFU ANAPIGA NAYO FOTO SHOOT.”

Honey Jesca posted a photo of the two children she bore for Diamond before the singer -now referred to as Simba wa Msolokombo – left.

The former beauty queen has branded the singer a dead beat dad.


“Abo Ni Batoto Ma Pacha Nilizalaka Na @Diamondplatnumz Toka 2013 Mupaka Leo Tulikutanaga Nae Wakati Alikuyaka Kwetu Burundi Kwa Ajili Ya Kuimba Ndipo Alipo Nionaga Na Kumtuma Kijana Aitwae #Mafya Ila Tokea Hapo Hajawai Kunipatiya Huduma Yoyote Mupaka Leo Nakama Haamini Nipo Tayari Tuende Kupima Dna Japokuwa Kuko Batu Benye Banazania Miye Natafuta Kiki No No No But Nipo Serious Kwa Hill Na Ukweli Haujifichi Pls @Diamondplatnumz Nimelea Toka Mwanzo Now Nataka Ukuye Ubakamate Na Aba Ba Mapasa Ubaleye Nimechoka
After Diomond went live on radio and admitted he cheated on Zari, the star defended his infidelity by saying it is proof that he is not impotent.
He wrote on Instagram: “Chawa KATU hauliwi kwa DOLE GUMBA…… Leo kawa Baba WATATU yule walomuitaga MGUMBA….”🔥🔥.”
Fans, haters, disgusted peeps and trolls responded to the post.
aiysha58: Kweli kabisa baba Tee, na most of them wanawake wanatamani wazae na wewe, be carefully protect yr self @diamondplatnumz
pashua_shii: A man takes care of his family not shame them!!.grow up
evelynkibibi: 😂😂😂😂 kenya twamgonja kwa hamu aiseee to see if he fertile with Kenyan ladies💃💃💃💃
achitsal: He’s now rubbing it in zaris face too hard
safali_yetu15: We mond unajua zari ndiyo aliitambulisha dunia kuwa wewe nilijali hebu muheshimu basi👌hao wengine wameibuka tu
shadhilmkwinda787: We unazngua Fanya kaz achana na makiki
uncle.eddy_drc.ke: You proud of cheating??? @diamondplatnumz andaa magoti South Africa ni mbali
godymasuvata: Kama mtoto watatu kapatikana nje ya ndoa unasema fresh.VP ukimwi zar atasema.fresh jilinde usiwe fis wakat ni Sumba zar pole take ndoa ndoano
fe9635: Kaka kwel ww n mwanaume ila ndugu kuwa makini wanawake watakupotezea mda hasa wakibongo angalia maisha yako pambana hapo ulipofika karibu unakaribia uctuangushe tunakupenda achana wajinga,zari ndio anakufaaa atakufikisha mbali sana kaka funguka uone,achana vdada vya bongo vitakuchuna tuuu,angalia maisha kwanza timiza malengo yako,uko mbali sana uckubali kurudi nyuma,maisha haya chezewiii.
TILLYSANGA: KAMA NIMEONA MWINGINE KAJITOKEZA NA MAPACHA ANATAKA ULE. HAPO WAAMBIE WAPAMBANE NA HALI ZAO
joy_nkungu: Haki dai ukuje kwetu Rwanda uchuke watoi wako mapacha na tuko tayari kwa DNA abatoto banakufanana haki jmn
mdundikokoko: We kaka utaishia pabaya, unampa jeuri hawara yako kumtukana mama watoto wako? Aliekutunzia heshima mda wote huo? Hufkiriii moyoni anajiskiaje? How could you be so selfish? Yote haya yatakutokea puani. TIME WILL TELL. Na umesharogwa wewe sio bure lakini yote umeyataka mwenyewe!!
irynroseirynrose: Shame on you Dangote! What is there to flaunt!? Dishonesty?? Really? Why humiliate a woman so publicly? You did not have to do that.



(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-101756261-1', 'auto'); ga('send', 'pageview');