Entertainment,Political And Lifestyle News Website. We Provide You With The Latest Breaking News, Gossip And Videos Straight From The Industry.

Total Pageviews

PropellerAds

27 Jul 2017

Kenyan Ladies MUST READ This.Here Is A List Of Female Names That Describes Their Characters Based On Facts.



Men were created to love women and women to be loyal to them. Sadly in the generation we live in today the game has completely changed. Women love what men can offer them while men on the other hand are desperately fighting to hold the crown for being players and womanizers.

Now in a very funny yet truthful revelation here are a list of female name with their characters that will make your day.

Wanaume kujeni muone hii:

1.Nancy – Muongo
2.Julieth – Kicheche
3.Mary- Anapenda mwanaume kwa kitambo kirefu
4.Precious – Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza
5.Hellen – Ana busara anapozungumza na mpenzi wake
6.Rose- Anapenda mwanaume mwenye pesa
7.Eunice – Hapendi ndugu wa mume wakr
8. Agness- Ana upendo wa dhati na Akipenda kapenda
9.Pauline – Hana vigezo vya mwanaume anayemtaka
10.Catherine- Mbinafsi ktk mapenzi,anajijali pekee kuliko mpenzi wake
11.Mariam – Anapenda kuwa rafiki na mpenzi wake
12. Loveness – Akitendwa anachukia mapenzi kwa muda mrefu
13.Monica – Anajivunia mpenzi wake popote
14.Mellisa – Hapendi kuonyesha huzuni kwa mpenzi wake hta kama amekereka
15.Elizabeth – Hapendi kujihusisha na mahusiano
16.Emmy – mtaalamu wa kutongozea marafiki zao(kuwadi)
17.Frida – Anapenda sifa kwa wanaume
18.Theresa – Mvumilivu ktk mapenzi
19.Eve – Hana mwanaume maalum,
20.Hilda – Muumiza mioyo ya wanaume wengi
21.Jackline – Ni mlipiza visasi
22.Lydia – Anampenda mtu ili apate/Afanikiwe kitu flani(Malawi binafc)
23.Carol – Ni Muongo kupitiliza na still anaaminika
24.Josephine – Hataki mpenzi but anataka mume
25.Grace – Anapendwa na wanaume wengi japo hataki hata mmojakatika hao wengi
26.Anna – Anaishia kwenye sogea tuishi bila ndoa
27.Beatrice – Ana maringo mpaka wanaume wanamuogopa
28.Rehema – Anapenda waume za watu
29.Brenda – Akipenda anapenda kufa
30.Diana – Amezubaa anaweza hata kuibiwa mpenzi wake na anaangalia tu
31.Ruth- Ni msaliti kwenye mahusiano
32.  Jane – Ni mapepe kwa nje lakini akiwa na mpenzi wake ni mpole
33. Rachel – Ni mwepesi kuachana na mwanaume hata kwa kosa dogo tu
34. Neema – Akiachwa mara moja anakata tamaa ya kuolewa
35. Mwende- Hana maamuzi sahihi kwenye mahusiano yake
36. Esther- Anaamini kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni dhambi
37. Violet – Mkorofi
38. Sylvia – Mkimya sana awapo na mpenzi wake
39. Christine – Hajali chochote kinachoendelea kwenye mahusiano yake
40. Doreen – Ana aibu sana kwenye mapenzio
41. Purity – Anapenda sana ila anaumizwa sana pia
42. Ebby: Wanapenda sex sana and silent killers
43. Tabby — hasira na kaujuaji kwa mpenzi “dont cares either udump then nt” 
44. Susan- hard to handle ” wanapenda kubembelezwa”
45. Liz – wanakuanga na heshima kwa wapenzi

46. Angela -visirani kwa jambo dogo
(function(i,s,o,g,r,a,m){i['GoogleAnalyticsObject']=r;i[r]=i[r]||function(){ (i[r].q=i[r].q||[]).push(arguments)},i[r].l=1*new Date();a=s.createElement(o), m=s.getElementsByTagName(o)[0];a.async=1;a.src=g;m.parentNode.insertBefore(a,m) })(window,document,'script','https://www.google-analytics.com/analytics.js','ga'); ga('create', 'UA-101756261-1', 'auto'); ga('send', 'pageview');